Nenda kwa yaliyomo

Della Sowah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Della Adjoa Sowah (alizaliwa 23 Novemba, 1959) ni mwanasiasa wa Ghana aliyekuwa Naibu Waziri wa Hali ya Jinsia, Watoto na Ulinzi wa Jamii. Pia ni Mbunge wa jimbo la Kpandu.[1]

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Sowah alizaliwa katika Kpandu, Volta Region ya Ghana mnamo 23 Novemba 1959.

Sowah alipata shahada yake katika Sayansi za Jamii kutoka Kwame Nkrumah University of Science and Technology mnamo 1981. Ana Diploma katika Fedha na Shahada ya Uzamili (MBA) katika Usimamizi wa Biashara.[2][3]

  1. "Ghana: Teenage Pregnancy Increases From 6 to 26 Percent - Della Sowah". Ghanaian Chronicle. Accra. 15 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 2020-08-03 kutoka AllAfrica.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Parliamentary Results for Kpando". MobileGhanaWeb. Iliwekwa mnamo 2023-10-16.
  3. "Kpando – Election Data Center – The Ghana Report". Election Data Centre (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-10-02. Iliwekwa mnamo 2023-10-16.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Della Sowah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.