Delegada Katarina
Mandhari
Katarina Feitoza Lima Santana, anajulikana zaidi kama Delegada Katarina (alizaliwa 5 Oktoba 1973), ni mwanasiasa wa Brazil na mkuu wa polisi anafanya kazi kama Mbunge wa Shirikisho (federal deputy) akiwakilisha jimbo la Sergipe tangu mwaka 2023.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Delegada Katarina – Biografia" (kwa Kireno). Chamber of Deputies.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Delegada Katarina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |