Deborah Gardner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Deborah Gardner alikuwa mfanyakazi wa kujitolea wa Marekani wa Peace Corps ambaye aliuawa na mfanyakazi mwingine wa kujitolea , Dennis Priven ndani ya kisiwa cha Tonga mnamo mwaka 1976 .Usimamiaji wa kesi ya Priven ulileta mtafaruku ndani ya Peace Corps.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Deborah Gardner alikua mhitimu wa chuo kikuu cha Washington pindi alipojiunga na Peace Corps. Baada ya kumaliza mafunzo alipewa jukumu la kufundisha masomo ya sayansi na uchumi katika shule huko Nuku'alofa, makao makuu ya mji wa Tonga. Huko ndipo alipokutana na Dennis Priven, aliyekuwa anajitolea katika Peace Corps pindi alipowasili huko Tonga mwaka uliopita.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deborah Gardner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.