Nenda kwa yaliyomo

Deanna Durbin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edna Mae Durbin (amezaliwa 4 Desemba, 1921 - amefariki 17 Aprili, 2013) anayejulikana kitaalamu kama Deanna Durbin , alikuwa mwimbaji na mwigizaji wa Marekani mzaliwa wa Kanada, ambaye alihamia Marekani na familia yake akiwa mtoto mdogo.[1] [2]

  1. Deanna Durbin at the Internet Archive – Includes audio of her singing many of her songs.
  2. The Deanna Durbin Showcase
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deanna Durbin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.