Dean Metropoulos
Mandhari
Charles Dean Metropoulos (Alizaliwa Mei 1946 huko Tripoli, Ugiriki) ni mwekezaji na mfanyabiashara bilionea kutoka Ugiriki nchini Marekani.[1] Alikuwa mmiliki wa Pabst Brewing Company, ambayo ilianzishwa na Jacob Best mwaka 1844.[2] Kwenye orodha ya Forbes ya mabilionea duniani ya mwaka 2020, aliorodheshwa nambari 875 akiwa na utajiri wa dola bilioni 2.6.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Dean Metropoulos". Wikipedia. Iliwekwa mnamo 2026-05-07.
- ↑ "Pabst is finally coming home: New Milwaukee brewery set to open in April". Milwaukee Journal Sentinel (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-13.
- ↑ "#962 C. Dean Metropoulos".
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dean Metropoulos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |