Davis Mwamunyange
Mandhari
(Elekezwa kutoka Davis Mamunyange)
Davis Mwamunyange (alizaliwa katika mkoa wa Mbeya, 1959) alikuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa kuchaguliwa na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete mwezi Septemba 2007. Kabla ya kuteuliwa kwake alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Serikali.
| Makala hii kuhusu wasifu wa Mtanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |