David Mbah
Mandhari
David Mbah ni profesa wa Uhandisi Mitambo katika Chuo Kikuu cha Lagos (UNILAG) akiwa ni mwanachama wa kitaaluma wa Akademia ya Sayansi ya Nigeria, ambapo alichaguliwa kujiunga na akademia hiyo katika Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika mnamo Januari 2015. Mwaka 2010, alishinda Tuzo ya Ludwig Mond kwa mchango wake uliotukuka katika nyanja ya Uhandisi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "NAS holds public lecture induction of fellows". nas.org.ng. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 8, 2015. Iliwekwa mnamo Julai 13, 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Mbah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |