Nenda kwa yaliyomo

David Luria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Perelmann. David Luria

David Luria (17981855) alikuwa rabi, mtafsiri, na mwanaisimu, mmoja wa wasomi wakubwa wa Torah wa kizazi chake. Aliandika tafsiri juu ya Talmud ya Babeli na Pirkei de-Rabbi Eliezer.[1]

Kazi zake

[hariri | hariri chanzo]
  • Maelezo ya ziada kuhusu Mishna; Talmudi ya Babeli; tafsiri ya Vilna Gaon kuhusu Seder Zeraim wa Talmudi ya Yerusalemu; Sheiltot ya Ahai Gaon; na mkusanyiko wa maswali na majibu ya magaoni uitwao Shaarei Teshuva
  • Tafsiri kuhusu Seder Moed wa Talmudi ya Yerusalemu; masomo ya[Tosefta katika sura ya Uktzin; Pirkei De-Rabbi Eliezer; Midrash Shmuel (aggadah)|Midrash Shmuel]]; Pesikta deRav Kahana; Midrash Rabbah; Kitabu cha Esta
  • Nefesh David[2]
  • Kochavei Or
  • Majibu ya kisheria (Responsa)[3]


  1. Daat – Encyclopedia Yehudit, David Luria, Radal
  2. Nefesh David (HebrewBooks)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Luria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.