David L. Mills
Mandhari
David Lennox Mills (3 Juni 1938 – 17 Januari 2024) alikuwa mhandisi wa kompyuta na profesa mstaafu katika University of Delaware.
Alikuwa mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa intaneti (Internet pioneer) na aliongoza Kikosi Kazi cha Gateway Algorithms and Data Structures (GADS). Alijulikana kama "Baba wa Muda wa Intaneti" kwa kubuni Network Time Protocol, ambayo inalenga kusawazisha muda wa kompyuta zote zinazoshiriki katika mifumo na mitandao tofauti ya kompyuta kwa tofauti ya milisekunde chache kutoka Coordinated Universal Time.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David L. Mills kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |