David Gross

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
David Gross

David Jonathan Gross (amezaliwa 19 Februari, 1941) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya kwanta. Mwaka wa 2004, pamoja na David Politzer na Frank Wilczek, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Gross kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.