Nenda kwa yaliyomo

David G. Booth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David G. Booth (alizaliwa 2 Desemba 1946) ni mfanyabiashara, mwekezaji, na mfadhili nchini Marekani.[1] Ni mwenyekiti wa Dimensional Fund Advisors, ambayo alianzisha pamoja na Rex Sinquefield. Alipata shahada ya sanaa katika uchumi (1968) na Master ya sayansi katika biashara (1969) kutoka Chuo Kikuu cha Kansas, na (Master of Business Administration MBA kutoka Chuo Kikuu cha Chicago (1971).[2] Mnamo Novemba 2008, alitoa dola milioni 300 kwa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Chicago, ambayo ilipewa jina lake kuwa Chuo kikuu cha Chicago Booth School cha biashara. Mnamo Agosti 2021, utajiri wake ulikadiriwa kuwa dola bilioni 2.[3]

  1. ↑ "David Booth". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-12.
  2. ↑ "KU alumnus gives $300M to Chicago business school". Lawrence Journal-World. Novemba 8, 2008. Iliwekwa mnamo 2026-04-12.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. ↑ "David Booth". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-12.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David G. Booth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.