Nenda kwa yaliyomo

David Edward Byrd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
David Edward Byrd

David Edward Byrd (4 Aprili 19413 Februari 2025) alikuwa msanii wa michoro, mbunifu, na mchora picha kutoka Marekani.

wingi wa miundo yake inachukuliwa kama iliyoisaidia kufafanua sura ya muziki wa rock na roll kuanzia miaka ya 1960.

Alijulikana zaidi kwa miundo ya mabango yake, ikiwemo mabango yake ya rock kwa Fillmore East pamoja na mabango yake ya teatri ya Broadway. [1][2][3][4]

{{reflist}}

  1. Williams, Alex (Februari 12, 2025). "David Edward Byrd, Whose Posters Captured Rock's Energy, Dies at 83". The New York Times. Iliwekwa mnamo Februari 12, 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Billboard 25 Best Rock Posters of All Time". www.billboardlists.50webs.com. Iliwekwa mnamo Juni 1, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "KISS Concert History Online - Interviews - David Edward Byrd". www.kissconcerthistory.com. Iliwekwa mnamo Agosti 5, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "David Edward Byrd - Woodstock". www.david-edward-byrd.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 11, 2019. Iliwekwa mnamo Juni 1, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Edward Byrd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.