David Christopher McGough
Mandhari
David Christopher McGough (20 Novemba 1944 – 26 Machi 2023) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Uingereza.
McGough alihudumu kama askofu msaidizi wa Birmingham kutoka 2005 hadi 2020, na kama askofu wa jimbojina la Chunavia hadi kifo chake.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |