David Brewster
Mandhari
Sir David Brewster (11 Desemba 1781 – 10 Februari 1868) alikuwa David Brewster mwanasayansi, mvumbuzi, mwandishi na msimamizi wa taaluma kutoka Uskoti. Katika sayansi anakumbukwa zaidi kwa kazi zake za majaribio katika optics ya kifizikia, hasa zilizohusiana na uchunguzi wa upolarishaji wa mwanga, ikiwemo ugunduzi wa Brewster's angle. Pia alichunguza birefringence ya fuwele chini ya mgandamizo na kugundua photoelasticity,[1] jambo lililosababisha kuanzishwa kwa taaluma ya optical mineralogy.[2]
Kwa sababu ya kazi hizi, William Whewell alimpa jina la “baba wa optics ya kisasa ya majaribio” na “Johannes Kepler wa optics”.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Thomas J. Bress (2009), "The Influence of Processing and Fluid Parameters on Injection Molding Flow". University of Michigan. ISBN 1-109-11089-8. p. 14.
- ↑ A. D. Morrison-Low (2004) "Brewster, Sir David (1781–1868)" in Oxford Dictionary of National Biography
- ↑ William Whewell (1859) [(https://archive.org/details/historyinductiv02whewgoog) History of the Inductive Sciences]. D. Appleton. p. 133
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Brewster kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |