David Belyavskiy
Mandhari
David Sagitovich Belyavskiy (alizaliwa Februari 23, 1992) [1]ni mwanariadha wa sarakasi wa Urusi na mshiriki wa Olimpiki mara tatu, akiwakilisha Urusi mnamo 2012 na 2016 na ROC mnamo 2020. Alikuwa miongoni mwa timu zilizoshinda dhahabu kwenye michezo ya olimpiki 2020 na michuano ya dunia 2019 na alishinda fedha kwenye michezo ya olimpiki 2016 na michuano ya dunia 2018.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "David Belyavskiy", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-10-13, iliwekwa mnamo 2021-11-27