David Beaton
Mandhari
David Beaton (1494 – 29 Mei 1546) alikuwa Askofu Mkuu wa St Andrews na kardinali wa mwisho wa Uskoti kabla ya Matengenezo ya Kiprotestanti.[1]



Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sanderson, Margaret H. B. (1986). Cardinal of Scotland. Edinburgh: John Donald Publishers Ltd. ISBN 0 85976 522 9.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |