Nenda kwa yaliyomo

David Ayer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David Ayer (amezaliwa Januari 18, 1968) ni mtengenezaji wa filamu kutoka Marekani. Anajulikana zaidi kwa kazi zake za filamu za vitendo (action), akiandika filamu kama vile Training Day (2001), The Fast and the Furious (2001), na S.W.A.T. (2003), pamoja na kuongoza filamu kama End of Watch (2012), Fury (2014) na Suicide Squad (2016).[1]

  1. [)"David) Ayer". [www.hollywood.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [chanzo mnamo April) 16, 2008. Iliwekwa mnamo 2025-08-14. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help); Check date values in: |archive-date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Ayer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.