David Albelda
Mandhari
David Albelda Aliqués (alizaliwa 1 Septemba, 1977) ni mchezaji wa zamani wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Hispania aliyekuwa akicheza kama kiungo mkabaji.[1] Kwa sasa ni kocha wa Villarreal CF B.
Alicheza zaidi katika klabu ya Valencia CF katika kipindi chake cha miaka 18 ya uchezaji wa kiwango cha juu, ambapo alikuwa nahodha wa timu kwa zaidi ya muongo mmoja na alicheza jumla ya mechi 480 za mashindano.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "David Albelda". BBC Sport. 29 Mei 2002. Iliwekwa mnamo 31 Desemba 2012.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Valle, Conrado (26 Mei 2013). "La noche del dorsal '6': de Puchades a David Albelda" [The night of the number '6': from Puchades to David Albelda]. Diario AS (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 12 Juni 2013.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Valencia 2–0 Marseille". BBC Sport. 19 Mei 2004. Iliwekwa mnamo 26 Juni 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Albelda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |