Nenda kwa yaliyomo

David Ajang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David Ajang (alizaliwa 1970 huko Zaria) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Nigeria na anahudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Lafia.

Aliteuliwa kuwa askofu mwaka 2021.[1]

  1. ↑ "Lafia (Diocese) [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2021-06-14.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.