Nenda kwa yaliyomo

David Abraham (mwanahistoria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David Abraham (amezaliwa 9 Novemba 1946) ni msomi wa sheria wa Marekani, mwanahistoria, na profesa mstaafu (Professor Emeritus) wa sheria katika Chuo Kikuu cha Miami. Utafiti wake unahusisha sheria ya kazi, uchumi wa kisiasa, uhamiaji, na uraia.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Abraham (mwanahistoria) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.