Athuman Kabongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Dark Master)
Jump to navigation Jump to search
Dark Master
Jina la kuzaliwa Athuman Kabongo
Pia anajulikana kama darkmaster
Amezaliwa mwanga kilimanjaro
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Rapa
Studio Bongo Records
Ame/Wameshirikiana na Dknob
Mangwair
Juma Nature
Inspector Haroun
LORD EYEZ
zahran
mr 2 aka sugu
GZ mabovu

Athuman Kabongo (aka Mwanachemba; anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Dark Master) ni msanii wa muziki wa hip hop na bongo flava kutoka nchini Tanzania.

Msanii huyu anatoka katika kundi la Chemba Squard au waweza sema ndiyo mwasisi wa kundi zima la Chemba Squared kutoka huko East Zoo - Dodoma, Tanzania.

Dark Master ameshatoa albamu moja lakini kutokana na mfumo wa usambazaji uliopo nchini haikuweza kufanya vizuri, lakini amefanya nyimbo kadhaa ambazo zilifanikiwa kukaa kwa muda mrefu katika chati za redio na runinga mbalimbali. Baadhi ya Nyimbo hizo ni pamoja na Shega Tu,Sema Darkie, Nimepamis Home, East Zuu FatherHip for Life, She Got Gwan (kashirikishwa na Mangwair), na nyingine kibao tu zilizofanywa na msanii huyu.

Tayari ameshafanya videos kadhaa na zinaonekana katika local stations...his two recent videos were done by Kinye, a guy from Mwanza who owns a small video company called Kinye Media. Darkmaster is optimistic that he is going to release his album before Mei 2011 and he sworn that he is not gonna take it to the Indians for distribution..."NITASAMBAZA MWENYEWE" he Stressed.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Athuman Kabongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.