Daraja jipya la Ruvu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Daraja la jipya la Ruvu)
| Daraja jipya la Ruvu English: New Ruvu Bridge | |
|---|---|
| Yabeba | Barabara kuu ya A7 (leni 2) |
| Yavuka | Mto Ruvu |
| Mahali | Mkoa wa Pwani |
| Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
| Mbunifu wa mradi | NORPLAN Tanzania |
| Urefu | mita 135 |
| Mjenzi | Chico (China) |
| Gharama za ujenzi | TZS 44 bilioni |
| Kilizinduliwa | Mei 2009 |
| Badala ya | Daraja la Ruvu |
| Anwani ya kijiografia | 6°41′26″S 38°41′40″E / 6.69056°S 38.69444°E |
Daraja jipya la Ruvu ni daraja linalovuka Mto Ruvu karibu na Mlandizi nchini Tanzania. Ni daraja muhimu kwenye njia ya barabara kuu A7 kati ya Dar es Salaam na Morogoro.
| Makala hii kuhusu daraja barani Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |