Nenda kwa yaliyomo

Daps (mwongozaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Daps (mwongozajii))

Oladapo Fagbenle (anajulikana pia kama Daps, alizaliwa Nigeria, 12 Februari 1986) ni msanii wa Uingereza mwongozaji wa taswira mjongeo (video), na mwanariadha wa zamani wa NCAA.[1] Fagbenle Anafahamika zaidi kwa kutengeneza video za muziki za kurekodi wasanii kama vile Migos, Stormzy, Iggy Azalea, Kendrick Lamar, Willie xo, Wizkid, 2 Chainz, na Davido.

  1. "Jordin Sparks f/ 2 Chainz "Double Tap" (DAPS, dir.)". Video Static. Iliwekwa mnamo 1 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]