Nenda kwa yaliyomo

Dante Gabriel Rossetti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gabriel Charles Dante Rossetti (Mei 12, 1828Aprili 9, 1882), anayejulikana kwa jina la Dante Gabriel Rossetti, alikuwa mshairi, mchoraji picha, na mtafsiri wa Uingereza. Alianzisha kundi la Pre-Raphaelite Brotherhood mwaka 1848 pamoja na William Holman Hunt na John Everett Millais.[1]

  1. "Dante Gabriel Rossetti – Definition, pictures, pronunciation and usage notes – Oxford Advanced Learner's Dictionary at OxfordLearnersDictionaries.com". oxfordlearnersdictionaries.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Februari 2014. Iliwekwa mnamo 8 Desemba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dante Gabriel Rossetti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.