Danny Rose

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rose akiwa Spurs.

Daniel Lee Rose (alizaliwa 2 Julai 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Uingereza ambaye anacheza kama beki wa kushoto katika klabu ya Uingereza Tottenham Hotspurs na timu ya taifa ya Uingereza.

Rose alianza kazi yake katika klabu ya Leeds United mnamo 2006, baada ya kupita katika safu ya vijana ya Klabu hiyo, aliondoka katika klabu hiyo na kuelekea Tottenham Hotspur mwezi Julai 2007, akiwa hajawahi kuchezea Leeds, mpaka leo bado ni mchezaji wa Tottenham.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Danny Rose kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.