Danilo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Danilo Luiz da Silva (anayejulikana sana kama Danilo; alizaliwa 15 Julai 1991) ni mchezaji wa soka wa Brazili ambaye anacheza katika klabu ya Uingereza Manchester City FC kama beki wa kulia au kushoto.

Alianza kazi yake na América Mineiro kabla ya kuhamia Santos.

Mnamo Januari 2012 alihamia FC Porto, ambapo alishinda mataji makuu ya Premierira Liga, mwaka 2015 alisaini kwa Real Madrid FC kwa milioni 31.5, na miaka miwili baadaye alijiunga na Manchester City.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Danilo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.