Nenda kwa yaliyomo

Daniel Georg Balk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daniel Georg Balk (alizaliwa tarehre 23 Juni 17641826) alikuwa mtafiti wa tiba kutoka Ujerumani. Kati ya mwaka 1803 hadi 1804, alihudumu kama mkuu wa Chuo Kikuu cha Tartu (zamani kikiitwa Chuo Kikuu cha Dorpati).[1]

Alizaliwa mjini Königsberg.[1]

Balk ndiye aliyefanikisha kuanzishwa kwa Hospitali ya Mafunzo ya Chuo Kikuu cha Tartu (Tartu University Clinic), taasisi muhimu ya afya na elimu ya udaktari nchini Estonia.[1]

Alifariki dunia mjini Tula, Urusi.[1]

Alitanguliwa na
Georg Friedrich Parrot
Rekta wa Chuo Kikuu cha Dorpati
1803–1804
Akafuatiwa na
Adam Christian Gaspari


  1. 1 2 3 4 "EEVA | Daniel George Balk (1764 – 1826 ?)". utlib.ut.ee. Iliwekwa mnamo 6 Februari 2024.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Georg Balk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.