Nenda kwa yaliyomo

Daniel Faraday

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel "Dan" Faraday
Mwonekano wa kwanza"The Beginning of the End"
Centric
episode(s)
"Confirmed Dead"
"The Variable"
Maelezo
JinaDaniel Faraday
Zamani
makazi
Essex, Massachusetts, USA
Oxford, England
(Taaluma) ya zamaniProfesa fizikia
Imechezwa naJeremy Davies

Dr. Daniel Faraday (mara nyingi huitwa Dan au kifupi huitwa jina la ukoo Faraday) ni jina la kutaja muhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Lost, ambacho hurushwa hewani na ABC. Uhusika umechezwa na Jeremy Davies. Faraday alianza kuonekana katika msimu wa nne wa mfululizo huu, na ni mmoja kati ya wanakikosi waliotua huko mjini Kahana.[1] Awali, Faraday alipangwa kwenye orodha ya wahusika watakaonekana mara kwa mara.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Jensen, Jeff (21 Februari 2008). "'Lost': Mind-Blowing Scoop From Its Producers". ew.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-03. Iliwekwa mnamo 2008-02-21.
  2. ABC Medianet, (18 Januari 2008) "Four Strangers Arrive on the Island, Leading the Survivors to Question the Intentions of Their Supposed Rescuers". Retrieved on 17 Februari 2008.Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Faraday kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.