Danie G. Krige
Mandhari
Danie Gerhardus Krige (26 Agosti 1919 – 3 Machi 2013) alikuwa mwanatakwimu na mhandisi wa madini wa Afrika Kusini ambaye alianzisha fani ya takwimu za kijiografia.Krige pia likuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand, Jamhuri ya Afrika Kusini. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Obituary: Danie Krige, South Africa's giant of geostatistics". Northernminer.com. 2013-04-08. Iliwekwa mnamo 2013-04-12.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Danie G. Krige kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |