Dani Ceballos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dani Ceballos katika mwaka 2015

Daniel "Dani" Ceballos Fernández (alizaliwa tarehe 7 Agosti 1996) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea timu ya klabu ya Real Madrid.

Dani Ceballos amechezea timu mbili katika maisha yake ya kucheza mpira. Timu hizo ni:

  1. Betis
  2. Real Madrid

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dani Ceballos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.