Dani Alves

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dani Alves baada ya pokea tuzo ya mchezaji katika ya fainali ya Copa America mwaka 2019

Dani Alves (alizaliwa Juazeiro, mji wa Brazili, 6 Mei 1983) ni mchezaji wa soka. Taifa lake ni Brazili.

Anacheza beki wa kushoto katika klabu ya Sao Paolo na kwa timu ya taifa ya Brazili.

Kabla ya kucheza Barcellona ndani 2008 alves alishawahi kuichezea Sevilla na kuchukua makombe mawili UEFA cap na Copa de rey na alisajiliwa Bacelona ka £32.5 millioni na akiwa hapo alicheza makombe mawili ya Super copa Espana na FIFA ya klabu na kombe la dunia na misimu (5) ya la liga pia alicheza UEFA Championi ligi mara mbili ndani ya 12 Julai 2017 alienda kujiunga na Paris Saint-Germain na kusaini mkataba wa miaka (2).

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dani Alves kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.