Nenda kwa yaliyomo

Dan Castello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dan Castello (1836 – 23 Aprili 1909) alikuwa showman, mkufunzi wa wanyama, mchekeshaji wa sarakasi (clown), na mkurugenzi wa sarakasi kutoka Marekani, ambaye alifanya ziara ya kwanza ya sarakasi kwa njia ya reli kuvuka bara zima la Marekani katika historia ya sarakasi.[1]

  1. Rubin, J. S., Casper, S. E. (2013). The Oxford Encyclopedia of American Cultural and Intellectual History. United Kingdom: Oxford University Press.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dan Castello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.