Nenda kwa yaliyomo

Damiani wa Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Damiani alivyochorwa.

Damiani wa Afrika alikuwa askari aliyeuawa kwa ajili ya imani yake ama Aleksandria ama sehemu nyingine ya Afrika Kaskazini.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini, pengine pamoja na watoto wawili, Modesti na Amoni[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Februari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Acta SS. Februarii, II, Anversa 1858.
  • Agostino Amore, voce Damiano, in Bibliotheca Sanctorum, IV, Roma, rist.1987.
  • Angelo L.Stoppa, Fara Novarese, terra di collina, Fara Novarese 1979.
  • Alberto Demarchi, San Damiano Martire, patrono di Fara Novarese, a cura del Centro Studi Fara Langobardorum, Quadernetto n.10, Fara Novarese 2002.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.