Damian Hugo Philipp von Schönborn
Mandhari

Damian Hugo Philipp von Schönborn (19 Septemba 1676, Mainz – 19 Agosti 1743, Bruchsal) alikuwa Prince-Askofu wa Speyer (1719–1743), Askofu wa Konstanz (1740–1743), na Kardinali wa Kanisa Katoliki tangu mwaka 1713.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |