Nenda kwa yaliyomo

Damião António Franklin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Damião António Franklin (6 Agosti 1950 – 28 Aprili 2014) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki nchini Angola.

Alikuwa Askofu Mkuu wa tano wa Luanda.[1]

  1. ↑ Lobo, Anthony (2008-08-26). "Angola: Catholic bishops want transparent elections". Catholic News Service. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-09.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.