Nenda kwa yaliyomo

Dame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dame kwa Kiingereza ni cheo cha chini kwa mkabaila wa kike. Inalingana na cheo cha "Sir". Kwa maana hii hupatikana nchini Uingereza na katika nchi za Jumuiya ya Madola zinazomkubali malkia wa Uingereza kama mkuu wa dola.

Siku hizi cheo hiki ama kinarithiwa katika familia zilizokuwa zamani watawala wa makabaila au kinatolewa kwa heshima na kama kitambulisho cha kazi nzuri ya kujitolea katika utumishi wa umma.

Kwa Kijerumani neno linapatikana kama namna ya kumsemesha mama kiheshima.