Tarafa ya Daloa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Daloa (wilaya))
Jump to navigation Jump to search
Tarafa ya Daloa
Nembo ya Cote d'Ivoire
Nembo ya Cote d'Ivoire
Eneo la Tafara ya Daloa.
Eneo la Tafara ya Daloa.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Wilaya Sassandra-Marahoué
Mkoa Haut-Sassandra
Imara 2011
Serikali [1]
 - Prefect Brou Kouame

Tarafa ya Daloa (kwa Kifaransa: département de Daloa) ni moja kati ya tarafa nne za Mkoa wa Haut-Sassandra ulioko Magharibi mwa Cote d'Ivoire.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 591,633.

Makao makuu ya eneo hilo ni Daloa.

Tarafa ya Daloa sasa imegawanywa katika kata zifuatazo:

  • Bédiala;
  • Daloa;
  • Gadouan;
  • Gboguhé;
  • Gonaté;
  • Zaïbo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.

Note to editors on how to manage collapsibility:

  • Use {{Tarafa ya Daloa|state=collapsed}} to show this template in its collapsed (hidden) state.
  • Use {{Tarafa ya Daloa|state=expanded}} to show this template in its expanded (fully visible) state.
  • Use {{Tarafa ya Daloa|state=autocollapse}} to show this template in its collapsed (hidden) state only if there is another template of the same type on the page. (This is usually the default.)