Dadu
Mandhari
Dadu (pia kete ya kamari) ni kete yenye umbo la mchemraba lakini kuna aina nyingine pia. Inatumiwa kwa kuirusha katika michezo ya kamari au pia katika mchezo ambako namba inahitajika kwa njia ya kubahatika.
Dadu ya kawaida huwa na pande sita na namba kwenye ya kila upande. Kwa kawaida namaba hizi ni 1, 2, 3, 4, 5 na 6. Jumla ya namba za pande mbili za kinyume huwa ni 7.
Dadu inarushwa kwenye sehemu tambarare ama mezani au kwenye sakafu ya chumba. Namba au alama inayofika juu ni ya kubahatika. Kurushwa kwa dadu kunatokea ama kwa mkono au baada ya kutikisisha ndani ya chombo.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- "Fair Dice" is an illustrated Math Games column about all the possible fair dice, and the mathematical reasons why other shapes are not fair.
- A complete list of all possible Fair Dice which has nice illustrations
- Animation clearly demonstrating the probability space of dice
- World's Largest Dice Collection links, photos, information about dice
- Computer Simulation of Irregular Dice Ilihifadhiwa 7 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine.
- "A Pair of Dice Which Never Roll 7"
- The oldest backgammon set found in Iran Ilihifadhiwa 5 Aprili 2012 kwenye Wayback Machine.
- "A Brief History of Dice" (in Dungeons & Dragons games)
- "How do you make loaded dice?", The Straight Dope, July 14, 2009
- A discussion linking dice and Tarot cards Ilihifadhiwa 29 Oktoba 2010 kwenye Wayback Machine.
- "Why Dice Behave the Way They Do", Popular Science July 1945
- Dice size chart shows common dice dimensions
- "Dice – A Dicey Love Affair" A list of board games with special dice