Nenda kwa yaliyomo

D.D. Kuupole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Profesa Domwini Dabire Kuupole (alizaliwa 1956) ni Makamu Mkuu wa zamani wa Chuo Kikuu cha Cape Coast (UCC) nchini Ghana pia alikuwa Naibu Makamu Mkuu wa chuo hicho kabla ya kusimikwa rasmi kama Makamu Mkuu wa tisa (VC) wa chuo hicho. Profesa Kuupole alichukua nafasi hiyo kutoka kwa Profesa Naana Jane Opoku-Agyemang, ambaye alikuwa Makamu Mkuu wa kwanza mwanamke kuwahi kutokea nchini humo, baada ya profesa huyo kustaafu mnamo Jumapili, tarehe 30 Septemba, 2012. [1]

  1. Dogbevi, Emmanuel (2012-10-02). "Prof. Dabire Kuupole named new UCC Vice-Chancellor". Ghana Business News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-05.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu D.D. Kuupole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.