Désiré Tsarahazana
Mandhari
Désiré Tsarahazana (amezaliwa 13 Juni 1954) ni kiongozi wa Kikatoliki kutoka Madagascar. Amehudumu kama Askofu Mkuu wa Toamasina tangu mwaka 2010, lakini alihudumu katika jimbo hilo kabla ya kupandishwa hadhi tangu 2008. Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali mwaka 2018.[1]
Marejeio
[hariri | hariri chanzo]- ↑ (in it) Rinunce e Nomine, 30.11.2000 (Press release). Holy See Press Office. 30 November 2000. B0713. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2000/11/30/0713/02442.html. Retrieved 20 May 2018.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |