Déogratias Nsabimana
Mandhari
Déogratias Nsabimana (alizaliwa 23 Agosti 1945 – 6 Aprili 1994) alikuwa jenerali na Mkuu wa Majeshi ya Rwanda (FAR) chini ya utawala wa Rais Juvénal Habyarimana kuanzia Aprili 1992 hadi alipouawa tarehe 6 Aprili 1994. Pia aliwahi kuhudumu kama Waziri wa Ulinzi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Linda Melvern: Rwanda Genocide and the participation of the Western world, Heinrich Hugendubel Verlag, Kreuzlingen / Munich 2004. ISBN 3-7205-2486-8 p. 58.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |