Nenda kwa yaliyomo

Dénes Szécsi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dénes Szécsi de Felsőlendva (14101 Februari 1465) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Hungaria na kardinali, aliyehudumu kama Askofu Mkuu wa Esztergom kuanzia 1440 hadi 1465.

Alikuwa Primate wa Hungaria wa kwanza tangu 1452 alipopewa cheo na haki na Papa Nikolasi V.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.