Sirili wa Bulgaria
Mandhari
(Elekezwa kutoka Cyril wa Bulgaria)

Sirili wa Bulgaria (Kibulgaria: Патриарх Кирил; jina la kuzaliwa Konstantin Markov Konstantinov; 3 Januari 1901 – 7 Machi 1971) alikuwa Patriarki wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodoksi la Bulgaria baada ya kurejeshwa kwa taasisi ya Patriarki wa Bulgaria.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Detrez, Raymond (2014). Historical Dictionary of Bulgaria. Rowman & Littlefield Publishers. uk. 272. ISBN 9781442241800. Iliwekwa mnamo 2 Desemba 2024.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |