Nenda kwa yaliyomo

Cyril Vasiľ

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cyril Vasiľ, S.J. (alizaliwa 10 Aprili 1965) ni askofu mkuu wa Shirika la Yesu (Wajesuiti) kutoka Slovakia ambaye amehudumu kama askofu wa Košice katika Kanisa Katoliki la Kigiriki la Slovakia tangu Juni 2021, baada ya kutumika kama msimamizi wa Kipapa (apostolic administrator) huko kwa muda wa miezi 16.

Anashikilia cheo binafsi cha askofu mkuu.[1]

  1. Carvalho, Nirmala (10 Agosti 2023). "Papal envoy's letter stirs fresh debate in Syro-Malabar Church". Crux. Iliwekwa mnamo 11 Agosti 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.