Cyprien Mbonimpa
Mandhari
Cyprien Mbonimpa (alizaliwa 26 Desemba 1946) ni mwanadiplomasia wa Burundi. Aliwahi kuwa balozi wa nchi yake nchini Ubelgiji (1980–1985) na Ufaransa (1985–1987), na pia alihudumu kama Waziri wa Mambo ya Nje[1] kuanzia 1987 hadi 1992.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cyprien Mbonimpa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ Lemarchand, René (1996). Burundi: ethnic conflict and genocide. Woodrow Wilson Center series (tol. la 1st pbk. ed). [Washington, D.C.] : Cambridge ; New York, NY: Woodrow Wilson Center Press ; Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-56623-0.
{{cite book}}:|edition=has extra text (help)