Cynthia Aku
Cynthia Aku
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Nigeria |
Nchi anayoitumikia | Nigeria |
Jina halisi | Cynthia |
Jina la familia | Aku |
Tarehe ya Kuzaliwa | 31 Desemba 1999 |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | forward |
Mwanachama wa timu ya michezo | Rivers Angels F.C. |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Cynthia Onyedikachi Aku (alizaliwa 31 Desemba 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria, ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya Kireçburnu Spor katika ligi ya Super League ya wanawake nchini Uturuki.[1] [2] [3] [4] [5]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Cynthia Aku.
- ↑ Ogala Emmanuel (2014-02-22). Women U-21 World Cup: Coach Nkiyu names 25 for Nigeria.
- ↑ Super Falcons thrash Niger 15-0 to reach semifinals of 2019 WAFU Women's Cup (May 12, 2019).
- ↑ Tochukwu Oluehi not included in Nigeria's WAFU Women's Cup squad (May 6, 2019).
- ↑ Turkcell Kadınlar Süper Ligi - Lıreçburnu 0-4 Ankara Büyükşehir Belediyesi Fomget G.S.K. (tr). Türkiye Futbol Federasyonu. Iliwekwa mnamo 10 March 2022.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cynthia Aku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |