Nenda kwa yaliyomo

Cristhian Mosquera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cristhian Andrey Mosquera Ibargüen (alizaliwa 27 Juni 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Arsenal FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na timu ya taifa ya Hispania.[2]

  1. ↑ "Cristhian Mosquera english-premier-league". Mosquera (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-08-11.
  2. ↑ "Cristhian Mosquera signs for Arsenal". Cristhian Mosquera signs for Arsenal (kwa Kiingereza). 2025-08-17. Iliwekwa mnamo 2025-08-11.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cristhian Mosquera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.