Nenda kwa yaliyomo

Couffo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Couffo (pia: Kouffo) ni moja ya mikoa kumi na mbili ya Benin. Una eneo la km2 2,404 na wakazi 741,895 (2013).

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Couffo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.