Costas Simitis
Mandhari

Konstantinos G. Simitis ( Juni 23, 1936 – Januari 5, 2025) alikuwa mwanasiasa wa Kigiriki aliyekuwa kiongozi wa harakati ya "Usasa" ya Ugiriki [citation needed]. Alimrithi Andreas Papandreou, mwanzilishi wa Chama cha Kisoshalisti cha Panhellenic (PASOK), na aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Ugiriki kuanzia 1996 hadi 2004. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Siemens: φορτισμένη απολογία Τσουκάτου| Kathimerini". www.kathimerini.gr. 14 Februari 2019. Iliwekwa mnamo 2019-02-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Costas Simitis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |