Nenda kwa yaliyomo

Corinne Chevallier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Corinne Chevallier (alizaliwa 25 Juni 1935) ni mwanahistoria na mwandishi wa riwaya wa Algeria mwenye asili ya Pied-noir.Chevallier baba ni yake, Jacques Chevallier, aliyewahi kuwa meya wa mji wa Algiers.

Chevallier alizaliwa mjini Algiers mwaka 1935, na ameishi huko tangu wakati huo, akiwa ni mmoja wa watu wachache wa jamii ya Pied-noir waliochukua uraia wa Algeria na kubaki katika taifa hilo jipya baada ya uhuru. [1]

  1. Hamid Tahri (2007-05-17). "Algérienne, profondément algérienne..." El Watan.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Corinne Chevallier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.